2014年4月21日 星期一

Creation

 
 
 
Mkalimani: Mch.Rebecca Sun
Mchapishaji: Mch. Rebecca Sun
 
 
Kiswahili Marekebisho: Julieth Lonah Milan na Apostle Joshua kuhanda
 
 
 

 
 
 
The First Day
Siku Kwanza
Genesis 1: 1 – 5  Mwanzo 1: 1-5
 
In the beginning God made heaven and earth.
Hapo mwanzo, Mungu aliumba mbingu na dunia.
 
 
At first it was empty and dark. But God made the light and called it day.
Siku ya kwanza dunia ilikuwa tupu na giza. Lakini Mungu akaumba mwanga na akauita “mchana”.
 
 
Then He made the darkness and called it night. God was watching over everything.
kisha akaumba giza na akaliita “Usiku”. Mungu alikuwa akiangalia kila kitu.
What do you think God did next?
Je, unafikiri Mungu alifanya nini baadaye?  
 
 
 
The Second Day
Siku ya Pili
Genesis 1: 6 – 8  Mwanzo 1: 6-8
 
On day two, God separated the air from the water.
Siku ya pili, Mungu akalitenganisha  anga na maji.
 
He put some water above the air and some below it. He named the air sky.
Aliweka maji juu ya anga na chini ya anga. Mungu akaliita anga “Mbingu.”
 
The next day God made something, many children like especially in the time of summer. Can you guess what it is?
Siku ya pili, Mungu akafanya jambo. Watoto wengi wanapenda zaidi wakati wa kiangazi. Unaweza kukisia hii ni nini?
The Third Day
Siku ya tatu
Genesis 1: 9 – 13  Mwanzo 1: 9-13
      
 
  
  The third day, God was busy. He made puddles, oceans, lakes, waterfalls and rivers.
Siku ya tatu, Mungu alikuwa na kazi nyingi. Akatengeneza vidimbwi, bahari, ziwa, maporomoko ya maji na mito.

 
He made the dry ground too.
Akafanya nchi kavu pia.
 
Next He made plants.
Baadaye akaumba mimea.
He made so many different kinds of trees, flowers and bushes, that no one could count them all.
Akaumba miti tofauti, maua na pori, kiasi kwamba hakuna anayeweza kuhesabu kwa idadi yake.
 
God said His work was good.
WOW! God made so much on that day. But can you guess what was missing?
Mungu akasema kazi yake ilikuwa nzuri.
Jamani! Mungu aliumba vitu vingi katika siku hiyo. Je unaweza kujua nini kilikosekana?
 
 
On Day four, God put the Sun in the sky to warm the earth. He saw that the night was very dark, so God put the moon and stars in the sky. Then God made spring, summer, fall and winter. All that He made was good.
Siku ya nne, Mungu akaweka jua katika mbingu kutia joto dunia. Yeye aliona hii usiku ilikuwa giza sana. Kisha aliweka luna na nyota mbinguni. Baadaye Mungu alifanya majira, kiangazi, maporomoko na kipupwe. Yote aliyoyafanya yalikuwa mazuri.
   
 
  
 

The fifth day, God made starfishes, octopuses, whales and turtles. He made fast little fish for river and slippery big fish for the ocean. He made big birds like eagles to soar in the sky and zippy little birds like parrots. He made birds in all shapes, sizes and colors.
Siku ya tano, Mungu akaumba nyota ya samaki, pweza, nyangumi na kasa. Akaumba haraka ya samaki wadogo wa mtoni na samaki wakubwa wanaoteleza wa baharini. Akaumba ndege wakubwa kama tai wakuruka juu Angani na kukamata ndege wadogo kama kasuku. Akaumba ndege kwa maumbo ukubwa na rangi.
The Sixth Day
Siku ya sita
Genesis 1: 24 – 31  Mwanzo 1: 24-31
 


On day six, God made the animals – puppies, cows, horses, kitties, elephants, giraffes, lions, deer, sheep, monkey and lots more.

Siku ya sita, Mungu akaumba wanyama – mbwa wadogo wadogo, ng’ombe, farasi, watoto wapaka, tembo, twiga, simba, paa, kondoo, kima na wengine wengi.

Everything God saw that it was good.
Kila kitu Mungu akaona kuwa ni vyema.
But something was still missing. There were no people.
Lakini baadhi ya vitu vilikosekana. Kwani hakukuwa na watu.
 
 
So God made some. And when he made them, God said, “Let us make man in our image.” He made them so they could be friends with Him.
Kisha Mungu akaumba watu, Mungu akasema, “Tumfanye mtu kwa sura yetu.” Aliwaumba wao, ili wawe rafaki zake.

We are happy with God forever.

Tunafurahi na Mungu milele na milele.


 
I’ve devoted to African Children.
 
The End
Mwisho